Simple!
Mapigo simple hayo warembo kama kawaida yangu nawapa kila aina na style ambayo imetulia kama hapo utaona nimekumatchishia kuanzia chini Suede Ankle-Strap Sandals,Cargo Minis,Patch-Pocket Polos,Metallic Pendant Necklaces,Gold Metal Hammered Oval Drop Earrings,Slouchy Canvas Hobos & Metal Bangles
1 comment:
Sheria mpenzi, naomba utuwekee picha za mavazi ya kiafrika lakini za wasichana wa kileo. Unajua wengine hatupendi kuvaa kimama-mama, kwa sababu umri wenyewe ni early 20's. Sasa fanya mambo ya kisista du lakini ya kiafrika afrika, watu tupate idea!
Post a Comment