
Nadhani warembo na wadau wakubwa wa blog hii mtakubaliana na mimi kwamba hii rangi ya Turquoise ilivyo na mvuto wa hali ya juu..na ukitazama kwa wasiwasi unaweza kusema Blue Bahari hivi..basi ngojea niwape intro kamili kwa kuanzia juu nimekuwekea kwanza Navy Calvin Klein Shoe,Pleated Satin Dress,Sunglasses,Turquoise Stud Earring,Tods Micky Small Bag Turquoise and Mod Plastic Bangle
No comments:
Post a Comment