Tuesday, 11 March 2008

1St Blog Annivesary!

Leo wadau Blog inatimiza 1st Annivesary..Napenda kuwashukuru sana wadau wangu popote pale mlipo na bila kuwasahau wanablogu wenzangu wote...sina la kusema zaidi ya kusema Sheria & Mavazi "Its More Than Fashion''....Much Lv & Cheerz Everybody

11 comments:

Faith S Hilary said...

Lemme be the first..well..i hope i m the first...anyways

Happy Birthday To You X2
Happy Birthday dear Sheria&Mavazi(blog)
Happy Birthday To You!!!!

I think in next few years itakuwa Happy Birthday To Sheria&Mavazi(store)

Anyways umetoka bomba kaka yangu kwa ajili ya birthday!!...Love all the combination!!

Anonymous said...

hepi besidei n hepi anivesali humo humooo...SHERIA&MAVAZI JUUUUUU,JUUU ZAIDI!!..KAZA BUTI BABAA MWENDO ULE ULE SPEED 7200000000..HAucheki na kima!!
bwt u look hot..nice outfit..1

Unknown said...

ah Hongera son.. kip it Up..
.sheria sasa toa zawadi hata kwa warembo wa 5 wa blog hii..
hehe.

Anonymous said...

i love u
i love ua blog
i love ua pic
happy bday sherianamavazi
kaza buti wangu.....
Edna

shamim a.k.a Zeze said...

WA!! WA!! WA!! SHERIA hongera kwanza kwani TUPAMOJA FOR LIVE KUMBE TUNA MWAKA.....umetoka Msoup na u look STUNNING KILA SIKU UNAZIDI KUWA HANDSOME....congrats to ur mum!!..Lol!!

Keep it up

luv zeze

Simon Kitururu said...

Hongera Mkuu!Moto huo huo Mkuu!

DERRICK MUSHOBOZI said...

Let me join the chain and say HAPPY BIRTHDAY to the blog i know u have come from far to start all this idea what i can say is, we do appreciate all the good work you have been doing,like the previous have said i also join them by saying this is the good start for u when need to see SHERIA NA MAVAZI STORE soon,everyone has a dream and he or she wants it to come true, i wish u all the best in your future endeavours. I love the outfit the mixture its cool i like the color of the pic as well

Anonymous said...

Sharia!!!!!!! Napenda hiyo pozi.Ongera sana mtu wangu,keep up the good work.Tuko pamoja.See you in june!

Anonymous said...

unajua kuvaa kwa ufupi na uko HOTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTT!Kiss

Anonymous said...

handsome

Anonymous said...

Happy bday sheria na mavazi Sheria nilisahau kukupongeza,
Umetoka bomba
Upo juu
Unatupa vitu vikali
Kazi yako nzuri sana
Nikiwa job cha kwanza huwa naifungua blog yako thn naendelea na kazi.Mtu akifanya kazi nzuri lazima apongezwe.Happy bday.

its me
www.waukweli.blogspot.com
Wa Ukweliiii.
Bongo.