Friday, 21 March 2008

BONGO!

Mambo ya Bongo!

5 comments:

Anonymous said...

huyu ndiye yule dada alikuwa anatangaza channel 5 sio bluu sijui au blue du kama ni yeye amenenepa sana

Anonymous said...

hiyo suti ya pro J vipi wewe unaionaje bomba au miyeyusho?

Sheria Ngowi. said...

Ya huyo dada ndiye mwenyewe mtangazaji wa channel 5 napenda kukujibu hvy anon wng wa tarehe 22,na kuhusu anon anayeuliza kuhusu suti ya profesa jay naweza kukujibu ya kwamba suti hiyo sio mbaya ila ina aina ya mtu na mtu na pia inatakiwa kuzingatiwa size ya mwili wa muhusika na inahitajka kuvaliwa katika mazingira gani na wakati gani ila kwa yeye haijampendeza kusema ukweli.....ila angevaa mtu kama TID na ikawa Bodyfit flani kwake na akavalia na shati white na loafer nyeupe au cream ingekuwa imempendeza sana...nadhani nimelijibu swali lako mdau wng?

vanessa unawakilisha