
Haya wakubwa hayo ndio mambo ya Casual Style flani ukiwa umeamua kulipuka simple flani ila umetoka nyoko bovu...kuanzia juu nimekuwekea kwanza Cowry Shell Bracelet,A.J. Morgan Mulholland Sunglasses,Poplin Casual Shirts,Low-Rise Loose-Fit Jeans na Patterned Slip-Ons
No comments:
Post a Comment