DONT!
Sasa warembo wa blog hii nilipokuwa nasema kwamba inabidi mastylist wamaceleb wawe saa nyingi wanajua kuwachagulia au kuwadesgnia nguo ambazo zinawasuit fresh kuendana na maumbo yao...ila saa nyingine linakuwa kosa sio la hao mastylist ila mvaaji binafsi kama pichani juu Queen Of Soul Aretha Franklin...Je ingekuwa wewe ndio Stylist wake ungemshauri avae nini katika nguo hiyo hiyo ili isiwe kama unavyoona pichani?
6 comments:
huyo bora avaa bazee tuu au ht gunia km vp..aibu gani hizi??mwee!
definetly something to cover her boobs completely maana kwa mama mwenye umri wake...na stylist wake...i hv no idea what they were thinking ila she definetly looks ridiculous
kwanza huo ningemshauri sana akonde kama anapenda mambo ya kuvaa hizo spaghetti sleeves halafu ningemshauri akiwa yuko kwenye diet awe anavaa nguo za kuziba mwili wake ili akikondo iwe kama suprise kwa onlookers
I cant comment everything is just boring
nimechaka sana maana sijui nicomments nini .What a shame jamani duuu. I wish Oprah could save her by inviting her to her show I am sure she will loose weight. hehehehehe
ningekuwa mimi ningemchapa vibao vitatu na kerub tatu badala ya kumpiga picha!
Kweli wamarekani weusi ni wenzetu, hana tufauti na watandare
Post a Comment