Sunday, 9 March 2008

FATMA AMOUR FASHION SHOW Photos

Kikuli Malosha 4rm (Dollywood),Nancy Sumare na Klynn
Model Jessica Ngowi
New Model
Unique Sistaz
Model Victoria Martin
Model Victoria Martin & Other Male Models
New Faces
Jana show kabambe iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa kutoka kwa Mbunifu anayekuja juu sana bongo Fatma na kujulikana kama ''FESTIVE COLLECTION''Ilifanyika jana katika Hotel ya Movenpick na kufana sana huku Mamodels wote wakitoka Kampuni Maarufu Ya Dollywood Tanzania Limited na huku kikundi maarufu cha Unique Sisters kikitoa burudani vilivyo....show hiyo ilihudhuriwa na baadhi ya wabunifu maarufu na masupastaa pia..
Kwa habari na picha zaidi tembelea: www.dollywoodtz.com

2 comments:

Anonymous said...

hapo model Jessica Ngowi peke yake wengine wote mauzauza,kwetu south tunasema wamenyata! Hakikisha umeiweka hii comment Mr. Rules usiibanie.

Faith S Hilary said...

Jessica anawika sasa...Sheria keep on pursuedin ur sister bcoz she is one of the models who got potential on wot they r doin...n abt the fashion show...very nice designs