HarusiYangu.Com







Wadau hiyo ni moja ya picha za harusi zinazopatikana kwenye Website ya HarusiYangu.Com..hiyo ilikuwa ni harusi kati ya Viola & Mugasa kwa kifupi harusi hiyo ilikuwa simple sana na mpangilio wao ulikuwa umetulia vibaya sana kuanzia kwenye mavazi ya Bw & Bi Harusi na Wasimamizi Wao na bila kusahau Make Up Kwa Bi.Harusi Ilitulia Fresh sana Usoni...au mnaonaje wadau .......Basi kwa picha na matukio mbalimbali ya harusi na mipangilio mbalimbali ya harusi embu tembelea: www.harusiyangu.com

1 comment:
BIG UP BRO!ITS ONE OF THE BIG STEPS IN LIFE THAT VERY FEW DUDES R READY 2 GO FOR IT,HOPEFULLY WE'LL BE JOINING DA FAMILY SOON.
GOD BLESS U,
DK&H INTERNATION.CO.UK
Post a Comment