Tuesday, 4 March 2008

Hudson Cardigan






Hudson Cardigan hiyo mkuu ni style ya aina yake na unapoivaa inakaa fresh sana mwilini...tukianzia chini nimeweka pamoja na Rodgers Black Leather Shoe,Trouser Pant,Blue pink block stripe shirt,Hudson Cardigan and Ultimate Minimalist Watch

No comments: