Wednesday, 19 March 2008

JE UKITAKA KUVAA HIGH HEEL UNATAKIWA UWE NA VIGEZO GANI KATI YA HIVI VIFUATAVYO...?

Jamani wadau na warembo wa blog hii nilitaka kujui ni nini kinachofaa au kupendeza kwamtu anapenda kuvaa HIGH HELLS...Je ni vigezo gani kati ya hivi vifuatavyo vinachangia au vinapaswa kwa mvaaji wa aina hii ya kiatu kuwa navyo ili avaapo vimpendeze..............

VIGEZO
Free polls from Pollhost.com

No comments: