Saturday, 1 March 2008

Simple Outfit








Simple Outfit ndio mapigo ya leo warembo kutokana na leo ni weekend basi hakuna budi kujipigilia na vitu simple na confortable pindi unapokuwa umevaa..tukitazama kuanzia chini nimeanza kwa kukuwekea kwanza BKE Sole Benefit Flip Sandal,Taupe stitch detail skirt,Fossil Safari Belt,BKE Long Strappy Tank,Polished Glass Necklace,Sunglasses,Big Metallic Bag and Bangle Bracelet

No comments: