Siri Ya Kuvaa Bikini Na Kupendeza Ni Nini?



Wadau leo nimeona niwaulize swali linalonipa utata utata kidogo kuhusu hili vazi la Bikini ambalo ni maalum kuvaliwa maeneo ya ufukweni aidha kula nalo pozi au kuogelea pia..sasa nilitaka kujua kati ya Umbo La Bantu Figure na Slim/Model Figure...so nilitaka kujua ni figure gani kati ya hizo mbili inatoka mwake kwenye vazi hili?
3 comments:
i think maumbo yoyote ni sawa tu as long as u feel confident n comfortable showing ur body..maybe "viewers" watakuwa na maoni mengine but thats what i think
bantu figure haipendezi sana,slim bomba
bantu nop but can be as long you like to show up your wowowo kichuguu. slip or medium size works better
Post a Comment