Sunday, 9 March 2008

TANZANIA MITINDO HOUSE WATOA MSAADA WA NYUMBA KWA WATOTO YATIMA
Mh.Mama Anna Kilango Malecela akikata utepe kuashiri ufunguzi rasmi wa kitua hicho..
Mbunifu Maarufu Khadija Mwanamboka Akitoa hotuba mbele ya mgeni rasmi...kumbuka pia Mbunifu Khadija Mwanamboka Ni Mwneyekiti wa Tanzania Mitindo House.
Balozi wa Redds Victoria Martin akiwa kwenye pozi matata sana na Mbunifu Maarufu Ally Rehmtullah na Mama Asia Idarous wa Fabak Fashions.
Mwanamitindo Fidelis,Mwanamitindo/Balozi wa Redds Victoria Martin (katikati) katika picha ya pamoja na mmoja ya wageni walioalikwa katika sherehe hiyo..
Mh.Mama Anna Kilango Malecela katika akisikiliza kwa makini Hotuba kutoka kwa Mbunifu/Mwenyekiti wa Tanzania Mitindo House Khadija Mwanamboka huku kulia kwake akiwa na Mama Joakina Dimel na shoto Victoria Martin...
Mbunifu Maarufu Mustafa Hassanali shoto,Asia Idarious wa Fabak Fashions kati na mwisho kulia ni Mbunifu Ally Rehmullah wakiwa kwenye picha ya pamoja...
Hao ni baadhi ya wageni waalikwa katika sherehe hiyo
Tanzania Mitindo House katika kusherekea sikukuu ya Wanawake Dunia jana..waliamua kuifurahia sikukuu hiyo kwa kufungua rasmi ya watoto yatima na wanaoishi na virusi vya ukimwi iliyoko maeneo ya Magomeni mtaa wa Kisiju na kufungulia rasmi na Mh.Mama Anna Kilango Malecela na kufuatiwa na Minada ya vitu na thamani mbalimbali ili kufanikisha uzinduzi huo..pichani juu Mh.Anna Kilango Malecela akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto hao na wajumbe wa Tanzania Mitindo House...
Picha Zote kwa niaba ya: http://www.michuzijr.blogspot.com/

3 comments:

Anonymous said...

SHERIA please badilisha haraka hapo juu sio VIZURI VIRUSI (u dont have to post this comment )

Sheria Ngowi. said...

mdau anon hapo juu nashukuru sana kwa ushauri wako na nimebadilisha kichwa cha habari...

Anonymous said...

unajitahidi sheria, mbona wamekasema kavictoria ka watu wivu tu huo, sijui lini watu wataacha wivu.