Thursday, 17 April 2008

Black & White







Warembo leo nimeona niwanyunyuzie mapigo ya Black & White...kama kawaida nadhani mnajua rangi hizo siku zote huwa hazitupani kama ukiweka combination ya maana,basi kuanzia chini nimeweka kwanza Givenchy High Heels Shoe,Black and white bandeau corsage dress,Large Heart Pendant Necklace,Sunglasses,Quilted Clutch Purse & Grooved Bangle

2 comments:

Faith S Hilary said...

the heels r high!..lol..i luv the little flower on the dress...n there r no earrings is it bcoz of the necklace or sumthin?..dats wot i think..au umesahau..lol..jokezz...anyways i luv the comby..very cute

DERRICK MUSHOBOZI said...

nilikuwa sijui kama givenchy wanadesign pia viatu gu stuff sheria hizo high heels balaa kama ujazoea zinakupeleka chini fasta au utakuwa unatembea kama umechomwa na msumari......lol