Sunday 1 June 2008

TUZO ZA VINARA WA FILAMU BONGO !

MSHINDI YA MUIGIZAJI BORA WA KIKE MWAKA 07,ELIZABETH CHIJUMBA.
MSHINDI WA TUZO YA HESHIMA,STEVE KANUMBA.
WAIGIZAJI
MWANDISHI BORA WA FILAMU MWAKA 07,KULWA KIDUMBWE (MPOKI).
WAIGIZAJI MAARUFU WAKIPONGEZANA.
MUIGIZAJI BORA WA FILAMU WA UPANDE WA WANAUME MWAKA 07 JACOB STEVEN (JB) & MENEJA MAHUSIANO WA MULTI-CHOICE LUCY KIHWELE.

DESIGNER ALLY REHMTULLAH AKIMPA TUZO MSHINDI WA TUZO YA MAPAMBO NA MALEBA BOARA..BI.IRENE SANGA.

MSHINDI WA BBA,RICHARD AKIMPA TUZO YA HESHIMA KWA BI.THEA

NAIBU WAZIRI WA HABARI,UTAMADUNI NA MICHEZO JOEL BENDERA AKIMTUNUKU AHMED HALFAN (KELVIN) TUZO YA FILAMU BORA YA MWAKA 07..

MGENI RASMI AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA WASHINDI WA TUZO HIZO....

PICHA SOURCE: www.michuzijr.blogspot.com

No comments:

Post a Comment