Wednesday, 18 February 2009

Safi Sana!

Design Ya Suti Watakazo Kuwa Wanavaa Wachezaji Wa Taifa Stars
Nswajigwa akiangalia viwalo vya mtoko.
Pichani Ni Mwanablogu Na Mpiga Picha Maarufu Father Kidevu..
Suti Hizo zimezinduliwa leo na wadhamini wa Taifa Stars Serengeti na NMB ambazo timu hiyo itazivaa wakati wa kuondoka kesho kwenda Ivory Coast.
Source: www.mrokim.blogspot.com
Safi Sana!

No comments: