Shindano La Kumtafuta Mtanashati Bora Tanzania 2009

inawaletea kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania shindano la THE MOST HANDSOME MAN IN TANZANIA 2009 Shindano litafanyika katika NEW AFRICA HOTEL mwezi huu March katika tarehe itayotangazwa karibuni. Majaji ambao watawachagua hawa ma HANDSOME MAN au Vijana watanashati wa kitanzania ni
Mr. KANUMBA the film actor and Director,
LATOYA the BBA3 participant,
MISS TZ 009 NASRIM, and Former Miss TZ 2006 BELLA.
Mshindi atapata USD 1000 na kupata nafasi ya kushiriki katika Fashion show za
SOUTH AFIRCA kama Mwanamitindo kutoka Tanzania na pia kupata kazi za matangazo hapa hapa TZ. Washiriki wamepatikana kutoka Agency mbali mbali za Wanamitindo hapa
TANZANIA

2 comments:
are these men gay?they look like it..
NAH DUDE!! THESE MAN ARE THOSE WHO ARE VERY ATRACTIVE, THE WAY THEY LOOK, THEY DRESS, THEIR FIT BODY, THEIR DICPLIN AND THEIR KINDNESS TO THE COMMUNITY, THESE ARE THE BEST MAN IN TOWN, AH AH AH!
CHEERS BRA YOUR WEB IS ROC
Post a Comment