Monday, 25 May 2009

Tanzania Cultural Night @ Limkokwing University 28 MAY 2009
Wanafunzi Wa Kitanzania Wa Chuo Cha Limkokwing wameandaa cultural night party na wanapenda kuisherehekea na wanafunzi wote wa kitanzania na hata wale ambao sio watanzania wanaosoma hapa Malaysia.
Event yenyewe itaanza sa 5pm to 9pm na hakuna malipo yoyote mlangoni ni free entrance. Event yenyewe ni alhamisi hii.
WOTE MNAKARIBISHWA!

No comments: