Monday, 24 August 2009

CheckOut My Interview:
FashionJunkii Man Monday Special


Just Click:http://fashionjunkii.onsugar.com/

Suit By Sheria Ngowi Designs

3 comments:

Peter said...

Suit nimeipenda nataka niivae kwenye harusi yangu ntaipataje??

Sheria Ngowi. said...

niandikie mail sheria.ngowi@gmail.com mkuu...nikupe maelekezo

Anonymous said...

Hongera kwa kazi zako nzuri sana binafsi napenda tu kuuliza kwakuwa tayari unafanya design ya nguo mbalimbali mi naona ni muda muafaka sasa utuwekee shop moja la nguvu ili wadau tuweze sasa jipatia bidhaa,pia huwa naona unaweka viatu mbalimbali vya kike na kiume kweli ni bomba sana je hivi ni ktk kuonyesha tu fashion mbalimbali au pia unaweza wezesha watu kupata bidhaa kama hizo kwa bongo,ni wazo langu ndugu ,kazi njema