Thursday, 10 December 2009






A Tanzanian Kid, Living the DREAM!!!
Hasheem Thabeet kijana mdogo mwenye mafanikio makubwa hivi sasa...
Thabeet ambaye kwa sasa anachezea Memphis Grizzlies, Kwenye Ligi Maarufu Ya kikapu Ya NBA... akiwa na umri wa miaka 21yrs tuuuuu tayari kwisha jipanga vyema kimaisha.
Picha kutoka kwenye jumba lake la kifahari hivi karibuni.
Well Dressed....And Well Done...All The Best Hasheem
Habari Kwa Hisani Ya
Total-Knockout

No comments: