Tuesday, 26 January 2010



Usiku wa Nuru The Light Wafana Dar es Salaam
Msanii wa muziki wa kizazi kipya anayefanya shughuli zake ughaibuni ,’ Nuru the Light’ (juu pichani)akiwa pamoja na wasanii wa Kundi la THT wakishambulia jukwaa wakati wa uzinduzi wa albamu yake kwenye Ukumbi wa Florida jijini Dar es Salaam juzi.

No comments: