Thursday, 27 May 2010


MISS TANZANI USA.
Miss Tanzania USA natafuta mabinti ambao wanasifa za kuweza kushiriki hili shindano ambalo litafanyika mwisho wa mwezi july.
1. UMRI 18-25
2. Awe hajaolewa
3. Anaweza kusafiri nje ya USA na kurudi (awe na makaratasi)
4. Awe anaweza kuongea kingereza vizuru
5. Awe na shape ya kimiss
6. Kama akishinda aweze kukaa Tanzania mwaka mmoja.
For Infomation Coming Soon!

1 comment:

Anonymous said...

jamani msijekuenda kuwauza watoto wa watu,maana binadamu siku hizi hatuna utu hata.utachukua watoto wa watu hapa vzr ukifika huko unawatumikisha kwa mibaba kwa ngono.muhakikishe hamwafanyii vitu vibaya watoto wa watu.