Nakaaya Kaweka Bayana kujihusisha na shughuli za kisiasa, Nakaaya Sumari amewataka wanamuziki wa muziki wa kizazi kipya kuacha kuimba nyimbo za kujirusha kila siku na badala yake watunge nyimbo za kuelimisha jamii kama vile zenye maudhui kuhusu uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu. Akiongea na Dar411 Nakaaya alisema wanamuziki wanajisaha sana kwani wao ndiyo wenye sauti ya kusikika sehemu kubwa ya Tanzania kwa kupitia Media na hata kuuza baadhi....
For More Click Here

No comments:
Post a Comment