PRESS RELEASE-Th
The emerging designer’s competition reaches the final stage
The Final 8 were selected to showcase at Swahili Fashion Week 2010
“Contemporary Swahili" is the Theme of 2010 Competition
The last 8 Finalists are competing for the prestigious emerging designer title during the Swahili Fashion Week to be held in November this year.
The selection was held on 10 September 2010 at the Southern Sun Hotel where 8 emerging designers were selected by a Panelist of Four Judges. The team of Judges consisted of ,Nsao Shalua, The Director of Arts of the National Arts Council, Jamila Swai, a leading women’s fashion designer, Michelangelo Adam from Italian Embassy and Mustafa Hassanali.
The finals designers are Zarina Suleiman, Pooja Narendrakumar Jeshang, Abduel Urassa, Shaban Mfaume, Kelvin Boniface, Subira Rahma Wahure, Angelina Muna and Grace Kijo.
“In short! All 16 were good but as this is a competition we must choose the winners, the final selection has shown real creative talent in fashion designing”, explained Washington Benbella, Swahili Fashion Week Coordinator.
Benbella continued to say that “through this competition we notice that Tanzania is rich for talented fashion designers, but all who do not go on to win, I encourage them to work hard to reach their goals”.
The judges were looking at various criteria to choose the final 8 candidates based upon the designers ability to sketch, illustrate attractiveness, creativity, colour and thematic relation.
Swahili Fashion Week is a platform for designers - both fashion and accessory - from Swahili speaking countries to showcase their creativity, market their art and network with their clientele. This is all aimed at promoting fashion as an income generating, job creating industry while emphasizing a “Made in East Africa “concept.
Initiating a dynamic and promising platform for the fashion industry in the region, Swahili Fashion Week is geared towards being the most sought out after fashion platform in Eastern Africa for the international market.
The third annual Swahili Fashion Week will take place this November in Dar Es Salaam, Tanzania.
The competition, now in its third year has no age limit, and was open to anyone who believes he or she has the creative talent to be a fashion designer. “Swahili Fashion week is the perfect platform for a designer to showcases his creation, and the emerging designers competition, is a stage to jump start ones career.” Added Mustafa Hassanali Swahili Fashion Week organizer.
Shindano la wabunifu wa mavazi wanaochipukia lafikia ukingoni.
Nane waingia fainal, wapata fursa ya kuonyesha kazi zao jukwaa la Swahili Fashion Week 2010.
“Contemporary Swahili” ni kauli mbiu ya shindano 2010
Hatimae majina ya wabunifu 8 wenye vipaji ambao wameingia fainali na kushindania zawadi ya mwaka katika onyesho kubwa la wiki la mavazi Swahili Fashion Week 2010 wapatikana.
Uchaguzi wa wabunifu wa mavazi wanaochipukia umefanyika Septemba 10 katika hotel ya Southern Sun jijini Dar es salaam, ambapo majina 8 yalichaguliwa na jopo la majaji wanne ambao ni Jamila Swai ambae ni mbunifu wa mavazi hapa nchini, Mkurugenzi wa Sanaa Nsao Shalua kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (National arts Council), Michelangelo Adam kutoka ubalozo wa Italia hapa ncini na Mustafa Hassanali.
Wabunifu hao 8 waliongia fainali watashindana katika kuonyesha kazi zao katika onyesho kubwa la wiki la mavazi Swahili Fashion Week litakayofanyika mwezi wa Novemba mwaka huu.
Mratibu wa Swahili Fashion Week, Ndugu Washington Benbella amesema kuwa “ Wabunifu wote 16 walikuwa wazuri na wameonyesha vipaji vya hali ya juu, na kuonyesha kuaTanzania ina vipaji vikubwa katika sanaa ya ubunifu wa mavazi”.
Wabunifu wa mavazi wanaochipukia waliofanikiwa kuingia fainali ni pamoja na Pooja Narendrakumar Jeshang, Abduel Urassa, Shaban Mfaume, Kelvin Boniface, Subira Rahma Wahure, Angelina Muna and Grace Kijo.
Majaji walikuwa na kazi ya ziada, kwani walikuwa makini katika kuangalia mambo mbalimbali ili kuweza kupitisha majina 8 ya wabunifu wa mavazi wanaochipukia, kwani walilazimika kuangalia uwezo katika ubunifu na kuchora, kwa kiasi gani mchoro unavitia, rangi iliyotumika katika mchoro na mambo mbalimbali yanayohusiana na ubunifu kwa ujumla.
Sahili Fashion Week ni jukwaa pekee linalowaleta pamoja wabunifu wa mavazi na watengenezaji wa bidhaa za mapambo kutoka nchi zote zinazozungumza lugha ya Kiswahili, ili kuonyesha ubunifu wao, kuuza bidhaa wanazozalisha, kubuni ajira, sambamba na kutengeneza mtandao kwa wabunifu kutoka maoneo hayo wanayoongea lugha ya Kiswahili, sambamba na kuhimiza dhana nzima ya kuthamini bidhaa zinazotengenezwa Afrika Mshariki.
Msisitizo zaidi umewekwa katika kuhakikisha kwamba sekta ya ubunifu inakuwa kikanda. Swahili Fashion Week inalenga kukuza sanaa ya ubunifu na kuwa jukwaa bora la kibiashara kimataifa kwa nchi za Afrika Mahariki.
Kwa mara ya tatu sasa Swahili Fashion Week imekuwa ikifanyika, ambapo kwa mwaka huu itafanyika November 2010, Dar Es Salaam, Tanzania.
Shindano hili linafanyika kwa mwaka wa tatu sasa, halina kikwazo cha umri, na linatoa fursa kwa watu wote wanaoamini kwamba wana kipaji cha ubunifu, na wanataka kuwa wabunifu. “Swahili Fashion Week ni jukwaa bora kwa wabunifu kuonyesha uwezo wao wa ubunifu na kuibua sindano la wabunifu wapya, ni jukwaa linalowawezesha watu kufikia malengo yao ”, aliongeza Mustafa Hassanali muandaaji wa Swahili Fashion Week.
###
Saphia Ngalapi
Media & PR Manager
Mustafa Hassanali
PO Box 10684, Dar es Salaam, Tanzania
105 Kilimani Road, Kinondoni, Dar es Salaam, Tanzania
(opp. Patricia Metzger Health & Beauty Clinic / near French Embassy)
Tel : +255 (0)22 266 8555
Mobile : +255 (0)712 099 834
Mail : media@mustafahassanali.net
Web : www.mustafahassanali.net
www.swahilifashionweek.com
www.harusitradefair.com
www.twende.info
No comments:
Post a Comment