Thursday, 2 December 2010

Mwamvita Makamba In The Latest Issue Of Shear Hair & Beauty Mag.

Get the latest issue of Shear Hair & Beauty with Mwamvita Makamba and her cute daughter, Malaika on the cover and she shares her beauty secrets with us, at TSh.5,000 in stands now! Inside this issue you will also get to know more of Vida Mahimbo – Design Starlet, Wedding Destination Bliss – Beit el Mtoni, exercise Boosters and much more!
-
Pata nakala yako ya toleo jipya la jarida la maswala ya urembo na nywele la Shear Hair & Beauty ambalo linakupa siri yake ya urembo kwenye ukurasa wa mbele utakutana na Mwamvita Makamba na mwanae Malaika, linapatikana kwa wauzaji wote wa magazeti kwa TSh.5,000 tu!

Ndani ya jarida hili pia utamjua mbunifu wa mitindo Vida Mahimbo, utapata kuona picha za harusi ndani ya Beit el Mtoni, pia chachandu za kukupa munkar wa kufanya mazoezi bila uvivu, na mengineo!


No comments: