Saturday, 7 September 2013


 

  

  
 
THE LIVING ROOM HAS NEW NAME AND ITS
 "TLR ECLECTIC"
&
SHERIA NGOWI:BRAND AMBASSADOR.


MEYA WA ILALA ,MHESHIMIWA JERRY SILAA NDO ALIKUWA MGENI RASMI KATIKA UZINDUZI HUU ULIOFANYIKA LEO JIJINI

KATIKA HILI DUKA AMBALO AMBALO LIMEZINDULIWA LEO KUNA GHOROFA TOFAUTI AMBAKO  KILA GHOROFA INA VITU VYA AINA YAKE KUNA AMBAYO INAVITU VYA VYA NYUMBANI AS SEBULENI, CHUMBANI  NA DINING SAMBAMBA NA MAPAMBO YA PICHA NK

KUNA GHOROFA INA VITU VYA OFISI KWA AJILI YA WAFANYAKAZI NA KUNA GHOROFA INA VITU VYA OFISI ZA VIONGOZI PEKEE NK
NA KUPITIA IZO KUNA SUB BRANT UKIENDA UTAKUTANA NA TLR JOINERY,TLR OFFICE  ,TLR GO NA TLR BOUTIQUE

WANASEMA WANABIDHAA ZA KILA MWENYE KIPATO HAKUNA MTU ATAACHWA NYUMA NA PIA WANA BRAND ZITENGENEZWAZO HAPA HAPA NCHINI  NA MBAO ZETU NA WANAOTENGENEZA NI VIJANA WA KITANZANIA NA PIA KUNA ZA NJE YA NCHI.

 DAR ED SALAAM WANAPATIKANA GEREZANI, MILLENIUM TOWER,QUALITY CENTER UCHUMI SUPER MARKET NA TLR JOINERY NA KIWANDA KIPO PUGU ROAD.

 SHERIA NGOWI NDIYE BRAND AMBASSADOR WA TLR ECLECTIC
WAKIZUNGUMZIA KIGEZO CHA KUMCHAGUA SHERIA MKURUGENZI NISHIT KANABAR ALISEMA

"we see this partnership as a way to organicalla and authentically open the floodgates of design in both the world on fashion anda furniture design’ ….having Sheria in board means we can share our ideas and vision for design aesthetic and push boundaries here in Dar’

Photo Credits:8020 Fashions.

No comments: