Monday, 30 April 2007

Bunango Hilo!

Tusisahau kuwa hata style ya kutumia aina ngozi ya mnyama flani sio lazima kutumia ya Chui,Zebra ila haya Ngombe style ya ngozi yake inapendeza kama uonavyo pichani hapo juu warembo mnasemaje hilo Bunango lilivyo tengenezwa kwa ubunifu mkubwa na style waliyotumiwa ni ile ya zamani....?nadhani ukipata aina hicho cha kiatu ukavalia suti white na minsketi yake itakuwa balaa....mnasemaje hapo?wewe ungevalia nini ukipata hilo bunango mrembo?

3 comments:

Anonymous said...

Kaka sheria hapo umenitoa ushamba...kumbe kuna staili ya ng'ombe pia...I like it!

DERRICK MUSHOBOZI said...

hii kali never seen it before shamim mdungo huo umeuona

Anonymous said...

Hii style kama hii inawafaa wakinadada wenye curves ambazo zimezidi wastani kidogo na mambo fulani hivi kwa nyuma--kuna sister mmoja nimeshawahi kumuona kapigilia bunango kama hili halafu amejaliwa kalio weeeeehhh!!! ni noma tupu.

Gudi jobu mzee Sheria--kwa kweli yu havu ze tachi ofu staili.