Monday, 16 April 2007

Harusi Ya Kabila...Hiyo?


Huyo ndio Rais Joseph Kabila (DRC) siku ya harusi yake mwaka jana na mlimbwende wake hapo pembeni..kusema ukweli walivaa mavazi yaliyo simple mpaka noma lakini kumbuka ni majina ya wabunifu wakubwa duniani ila tukiachana na hayo yote mnaonaje usimple wa mavazi hayo hasahasa kwa upande wa bi.harusi?siku hizi lazima tujifunze kuvaa vitu simple hata kwenye harusi ndio itakuwa mwake sana sana mambo ya kuvaa makorokoro mengi yamepitwa na wakati nadhani hilo warembo mnakubaliana na mimi.....mambo ya magauni makubwa..mashela hayo yamepitwa na wakati...au mnasemaje wadau wangu si kweli?

2 comments:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Dah yaani wametoka bomba na simple ile mbaya nawakubali the look nice hakuna mambo mengi simple and clear wamependeza sana hasa wife ametoka fresh sana good design we have to learn maana harusi za kibongo madude kibao mashela mengi ndio zao utafikiri SANTA CLAUS au FATHER CHRISTMAS........sheria hili ni somo tosha halafu kizuri zaidi KABILA kala black halafu wife wake kala white patamu hapo harafu hana too much make up bomba sana

Sheria Ngowi. said...

ndio hvy kaka inatubidi tubadilike na hvy itakuwa swafi sana na kupunguza gharama zisizokuwa na msingi pia...