Jeanz With Boots..!Mhh Sooo!

Nadhani warembo mnajua sana swala la kuvaa jinsi na chini mkamalizia na boots kali huwa siku zote zinapendeza sana kwakuwa unakuwa simple na unaonekana tofauti...tofauti unakuja kwenye choice ya mavazi na pia style ya mtu jinsi anavyojua kulipuka...kama muonavyo pichani jinsi mrembo Ciara alivyolipuka simple kinoma na kiblauzi white simple,blue jeans na boots simple na kali za brown.....kusema ukweli kapendeza na huwa napendezaga naona zaidi akibana nywele zake nyuma au mnaonaje wadau mlipuko na style ya nywele alivyobana?
4 comments:
Nice outfit...I like Ciara's sytle...she looks sumhow better that in the video...and she looks nice as long as she doesnt wear ''Like A Boy''...Big up ciara!
In this pic ciara luks totaly different she looks very smooth i like the white colour she's wearing thou here she seems to look more shining i like the video PROMISE very tight video luk out for the remix with R.Kelly
lol we sheria una utani wewe!! hayo maboot labda uwaambie dada zetu wa ulaya...huku bongo wanayamiss use...utamkuta mtu mchana wa jua kaliiiiiii amevaa maboot...mi naogopaga...hayo mvae huko kwenye baridi Bongo hayana nafasi yatatuletea fangasi bureeee......ILA BEGI LIMENIKUNA!!
Kweli shamim hapo umesema ukweli maana haya ma boot yakija huko bongo kuna baadhi ya dada zetu wanaweza kuwa wanayapigilia mchana kutwa kwenye jua si unaju tena hawaangalia ni wapi pa kuyavalia ili mradi tu wameonekana wamevaa na hapo utakuwa unazileta fangasi kwa spidi ya ajabu
Post a Comment