Mario Na Kimeo Cha Southpole..!

Uzuri wa wenzetu mtoni ni kwamba ukiwa ni mtu maarufu huko unapewa matangazo mengi na ya maana kwakuwa hawa watu wanajua kufanya biashara kwa kutumia majina ya watu maarufu...ila kwetu Afrika bado sana hatujajikwamua katika swala hilo ingawa kuna baadhi ya nchi nyingine zinafanya hivyo kama South Africa na nyinginezo...hivi kwaninii watu maarufu pale bongo na wenye makampuni makubwa hawawapi kimeo wanamziki wa pale bongo ulaji kama Mario pichani ambaye anatangazia kampuni ya mavazi ya Southpole ambapo anakula hela ndefu vibaya sana.....watu kama Juma Nature,Mwana.Fa,Fid q kwanini wasipewe ulaji kama huo hata wakianzia kwa kulipwa hata kiasi flani hivi wajikwamue...maanake wakae wakijua kama wanamziki maarufu kiwanja huwa hawategemei kazi ya mziki tu ila wanakuwa wanapewa shavu kwa mikataba kibao ya matangazo na ndio hapo wanapata hela ndefu...au wadau mnaonaje?
2 comments:
Makampuni yenyewe ya nguo yako wapi hapa Bongo...mtu akivaa ''G-Unit'' yake basi katoka hata kama iwe fake...ila wasanii wa Bongo Flava wana nafasi ndogo ya kufanya commercial kama hizo..anyways...Mario look tight in those 2 outfits
In my opinion ukinuliza mimi nitakwambia kuwa out of all bongo flava artist hawazidi hata kumi na kati ya hao waliofanya hizo commercials nafikiri ni wanne tu ambao watakuwa wamefanya commercials za maana na kulipwa at least hela fulani huku makampuni makubwa labda useme TBL,TCC,SERENGETI BREWERIES,TIGO,VODA,CELTEL,TTCL at least haya makampuni unaweza kufanya commercials ukapewa hela fulani lakini sidhani hata kama inafika milioni moja except for VODACOM at least they pay well and CELTEL too ingawa most of the adds za CELTEL wengi wanakuwa sio wabongo siku hizi naona ndio wameanza kubadilisha baadhi ya adds zao zinafanywa na wabongo kwahiyo we still have a long way to go asilimia nyingi ya watu huku bado wanavaa pamba za nje like phat pharm,roca wear,g unit na nyinginezo nyingi ziwe feki au za ukweli yote poa tu sijui bongo kama itakuja itokee kampuni kubwa ya mavazi kama ilivyo huko nje kwa wenzetu may be u never know dunia inabadilika by the way i like the model ambaye yuko na mario ametoka bomba sana height yake iko safi sana halafu pozi moja kali sana i like her legs....
Post a Comment