Mfano Ukivalia Hii Suti....Na Hicho Kiatu Chini..Itakuwaje?
Kwa mfano hicho kiatu hapo chini ukivalia hiyo suti hapo pichani nadhani utatoka fresh kinoma...nimeona niwaonyeshe mfano wadau zangu na nyie mpae picha mtoko utatokaje wadau zangu....hapo pichani juu ni Designer Ozwald Boateng akiwa anawapa shukrani wageni walifika kumpa shavu siku ya fashion show ya mavazi yake akiwa anawapa shukrani zake akiwa na mkewe shoto...sasa wadau mnaonaje hiyo suti ukivalia ule mkwaju red niliowawekea pichani chini?na jamaa mnaonaje suti yake alivyoidesign bomba na kumkaa kisawasawa....
2 comments:
Jamaa kasimama ile kinoma ila hiyo out fit ya red bado naitafakari sana ukipigilia na huo mkwaju mwekundu chini duh.......sijui labda wadau wengine niwasikilize watasemaje
mh!! hyo rangi ina mashaka itakuwa anavaa jamaa valentine hadi valentine...yani ni rangi fulani hivi ukivaa lazima utaonekana.....nadhani inawavaa macelebrate zaidi....kaka angu derrick sikushauri....maana mwenyewe utataka ufanye ya kuulambia...utavaa harusi ngapi bongo tutakukrem tu!!...na hiyo huwezi kuvaa ofisini utakuwa UMEPANIA SAAANA!!
Post a Comment