Saturday, 5 May 2007

Army Style!

Jigga akiwa kalipuka juu na long sleeve t-shirt lenye design ya rangi za kijeshi na ambayo ni style iko kwenye kwa kipindi kirefu sana...ila aina hii ya mavazi kwa wenzetu ukiwa umejilipua nayo ni mwake tu lakini sio pale kwetu bongo ukikutwa umejitundika aina hiyo ya vazi lazima wakuchojoe bila huruma na kama umepiga ful lazima uachwe mtupu mbele ya kkadamnasi...lakini sio sababu ya kukataza aina hii ya mavazi pale bongo cha kufanya ni kwamba mavazi ya kijeshi yawe na code tu ambayo wakitazama wajue ni vazi lao limeingizwa mtaani yaani hata ukikutwa na kibeg lazima wakumwage manyanga...tubadilike jamani!

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Mtoko bomba sana mara moja moja kutoka hivyo sio mbaya inafaa vile vile kubadilisha outfit tshirt ya kijeshi imeenda sawa sawia na jeans sijui chini atakuwa amemaliza kukandamiza na usafiri gani