Wednesday, 9 May 2007

Black & White..... Zinapomatchishwa Zinatoka Hivyo!

Siku zote hakuna rangi ambazo zikiwamix zinapendeza kama Black & White..Sijui nyie wadau zangu mnasemaje hapo?Ila kati ya rangi hizo mbili ni zote zinakubali kumatch na rangi nyingine bila wasiwasi kabisa...manaonaje pichani juu mzee mzima Usher alivyomatch shati white na sweater la vifungo la black na hakuishia hapo alikandamiza msumari wake wa mwisho kwa kujipiga miwani moja ya light smoke black kali na kusema ukweli ametoka wakuu ubishi hauna nafasi kabisa au mzee mzima Tinashe,Gusto kachemka?

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Mixture ya white na black asikwambie mtu unakandamiza ile kisawasa mimi nimeikubali mixer hiyo katoka fresh sana