Monday, 14 May 2007

Brown Inavyoreflect Sooo!

Naombwa warembo mtazameni hiyo picha ya huyo mrembo hapo pichani juu kuanzia juu mpaka chini ni jinsi gani huyo mrembo alivyovaa fresh na kumatch vilivyo mavazi hayo kuanzia choice yake ya rangi ilivyoendana na yeye na alivyomix hiyo rangi ya brown na kureflect fresh kinoma.....tazama kuanzia style ya nywele alizoweka,gauni alilovaa,belt(tibaigana),na viatu chini....je hiyo aina ya nguo aliyovaa mrembo huyo pichani mnaionaje mabinti?ametoka ehh?

2 comments:

Anonymous said...

YER!!!...kapendeza tena sana ila naona kama hizo nywele kachemsha...thx

DERRICK MUSHOBOZI said...

KWENYE OUFIT KATOKA BOMBA SANA NAKUBALIANA NA BACKGROUND YA HIYO PICHA IMESIMAMA VILIVYO ILA KAMA ALIVYOSEMA ANONYMOUS HAPO JUU NYWELE NAFIKIRI ANGEBADILISHA STYLE KIDOGO......