Tuesday, 22 May 2007

Classic Style In The Modern World!









Haya mimi naona nimengea sana ila kwa leo nimeona niwape mdungo huo wa mavazi classic sana lakini yapo kwenye ubunifu kwa kisasa kabisa na endapo mrembo yoyote akiamua kujidung mambo hayo basi atakuwa anaonekana ni mtu flani hivi alienda angalau age kidogo...tukianazia juu pichani ni A.J. Morgan Swan Lake Sunglasses(miwani),Candice Large Tote(pochi kubwa),Daytrip Chiffon Polka Dot Top(kitop), Guess Daredevil Stretch Jean(jeans),Not Rated Seeing Stars Shoe(kiatu)....mnasemaje stock?


4 comments:

shamim a.k.a Zeze said...

mh...Sheria unanikuna we acha tu kama najiona siku hiyo nimepaniaaaaa naingia zangu ofisini...jioni nina yake lazima kuwe na cocktail party fulani hivi

Anonymous said...

Shoes Alarm!!! I love them and the outfit is nice as well

Anonymous said...

Sheria, you can be my stylist in my magazine...I love the way you dress a woman!!the shoe would be too much with the top..black would be lovely but I would love the shoes with skinny jeans

Sheria Ngowi. said...

Thx sana anonymous ambaye pia ni mdau wa blog hii...haha haha ahha nitakuwa stylist wko popote utakaponiitaji na thx sana kwa kukubali kazi yangu.....karibu sana na thx 4ur nice comments..