Friday, 11 May 2007

Fashion Mpaka Kwenye Family...!

Siku zote unapokaa na kusikia familia flani inavaa poa sana usije ukakosea ukasema mtu mmoja awe baba au mama ila ni kwa ujumla mzima kwamba familia yote inakwenda na fashion inavyosema...kama pichani embu tazama familia hiyo hakuna kubaniana uvae nguo flani kama wewe ni mtoto mdogo ila unavaa unachopenda bila uwoga wala wasiwasi...embu tazameni kuanzia mdingi na maza na watoto wote wanatisha....mhh safi sana!

3 comments:

Anonymous said...

Mh! I love this, it is a good example of what being a fashion freak is all about, runs in the whole family.....I love them hot pants on the lady far left.

Anonymous said...

wow..they look nice of all them..that's Run's House!!!

Anonymous said...

I'm in love with Rev Run's Girls--Venessa and Brenda; they are all smoking hot.

This is how all Wanugu(Black Americans) need to act.