Hapa Nitoke Vipi....Mhhh!
Unajua style zinapokuja na kuondoka kuna baadhi wa wachache kutokana na umaarufu wao wanajitaidi au wanataka kuirudisha tena kwenye game...na kwa kusema ukweli huwa wanafanikiwa kwa kuwa tofauti siku hiyo wanapoamua kujitokeza kwenye kadamnasi kwa style hizo za kale na watu wanawatupia jicho sio kwakuwa wamekuwa kituko ila kivutio kwakuwa wanaonekana tofauti na mavazi yaliyoko kwenye market kwa kipindi hicho...embu mtazame mzee mzima Kanye West katika hizo picha mbili tofauti...mzee aliamua kujilipua kama kati picha moja anaonekana amevaa kisasa na nyingine style ya kizamani ila wadau mnaona ni style ipi anapendeza?
1 comment:
Hiyo style ya pili aliyotoka nayo inanikumbusha video ya MWANAMUZIKI ANAYEITWA ODB nafikiri kwa wale waliowahi kuiona watakuwa wanakumbuka
Post a Comment