Kumbukeni hata sendoz nazo pia zinahitajika ubunifu wa hali ya juu sio nguo,viatu pekee vinahitaji ubunifu...unajua kuna style nyingi sana ambazo unaweza ukazidharau au kuzichulia za kawaida ila kumbe ni style ambayo iko juu kinoma ukiweka au ukibuni katika kitu flani...kama pichani wakuu mnaoneja sendoz hiyo ilivyotulia sio tu kuwa kama imefumwa au kusukwa ila hata rangi zake pia zimewekwa kwa ubunifu wa hali ya juu sana na kutia moyo na endapo ukija kukumbana nayo sehemu kama una mshiko hutaivumilia ikupite hivihivi maanake inavutia kinoma na hasa ukiivalia Cadet pensi ya brown au rangi mojawapo ilyonakshia katika hiyo sendoz na Form 6 (kola t-shirt) flani na juu ukamalizia na oversize glass moja matata ya brown..?au wewe mkuu ungelipukaje nje na mimi nilivyosema ukipata msambamba huo pichani?
Wednesday, 2 May 2007
Hata Sendoz Zinatofautiana Ubunifu...Mnaonaje Hiyo!

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comments:
Dizaini hii bomba sana sema ukija na hizi sandals bongo inabidi usivae kwenye mvua maana itakuwa balaa tu au ukizivaa kwenye vumbi letu la bongo balaa tu ndani ya mwezi hauna sandals
Hehe..hapo Kaka Sheria umesema!!!...I like that..it's kinda like ''Mkeka'' style
Post a Comment