Wednesday, 2 May 2007

Hiyo Ndio Vans Classic Slip On...Ilivyo Sooo!

Wadau hiyo ndio Vans Classic Slip On jinsi ilivyo ni mmoja ya raba simple matata sana na chati yake ni kama ukiwa umevaa chata kama Converse ila tofauti ya Vans na Converse ni kwamba hii huwa hakuna ya kamba na ila converse ni za kufunga na kamba na sio slip on kama Vans.Embu tazma halafu fikiria ukiwa umepigia na Brown kodrai au jeanz ya fedout dark blue,form 6 ya pink au brown,white na ukamalizia na hii raba chini waungwana?

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Kati ya vitu nilivyopenda kwenye hicho kiatu ni hizo dots dots zimetulia sana zimekifanya kionekane kiko unique