Hapo pichani nadhani mnamuona jinsi gani huyo mrembo kalipuka pamba nyepesi ambapo ni mnyambuliko wa Khaki Jacket with Kahki Capris nadhani shamim hapo umeonaje mdungo huo...kwakuwa mm nimekuwa speechless kwa sasa...hah hahah kamateni stock hiyo warembo....
1 comment:
I just like the boots...that's all
Post a Comment