![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjrSbeKABe1DNLcDQe7kWFkfAZccRhU3lkhOo1yVT6AAnDiHhkmkPqCseP4yRI9U4G_c-uU_Yg6l_fmiIcNirANi7O0kO98gU7LeRkE2bMOo699njIE4KrfR6gWEKaFZ4XxW1DirKU1pckN/s400/cr07_rtww_2.jpg)
Nimewaona niwadunge stock pindi mtu avaapo material ya nguo zilizotengenezwa na Satin + Linen endapo uvaapo muonekano wake unavyokuwa wakati unavaa aina hiyo ya mavazi....kama pichani juu tazama mrembo alivyolipuka suti ya kikaptula white na kiblauzi cha satin yellow,picha ya pili anaonekana pia mzee mzima alivyojilipua na shati la satin material la red mistari mistari Red & White na picha ya chini mwisho anaonekana tena mrembo kajilipua suruali ya linen ya kijivu,blauzi black ya satin na pochi kubwa na chini kamalizia na classic heels...nadhni mrembo jema,lulu na rehemu popote mlipo mmenisoma hapo....!
1 comment:
nIMEIKUBALI PICHA YA PILI JAMAA KATOKA BOMBA SANA HASA SHATI ALILOVAA LINAENDANA SANA NA SURUALI UKIANGALIAN SHATI LINA STRIPS NYEKUNDU NA RED HALAFU SURUALI INA RANGI NYEUPE KWAHIYO INA MATCH BOMBA SANA
Post a Comment