
Saturday, 19 May 2007
Mambo Ya Green!
Kusema ukweli hii rangi ya green huwa ikipatiwa hasahasa kwenye swala zima la ubunifu mzuri iwe kwenye nguo za kiume au mademu huwa zinatoka kinoma hasahasa rangi hii ikimixiwa na white au black ni balaa...embu mcheki mrembo pichani ni kiasi gani hicho kigauni kimetoa si kitoto na kuoonekana simple sana,tazama mshono ulivyokaa na jinsi gani pia gauni hilo lilivyomfit vizuri kiunoni ...na tusisahau hilo pochi kubwa la black lilivyoendana na huo mdundo aliojudunga mguuni cha black na kambakamaba zilivyokifanya kuwa kina mvuto zaidi kwa kifupi huyu demu amefa vitu special na vyenye ubunifu wa hali ya juu...nadhani lulu,jessica mmenisoma warembo....

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment