Thursday, 24 May 2007

Mambo Ya Mtoko!
















Mambo ya mtoko hayo waungwana embu tazama mapigo yalivyokuwa simple na wala sio ya gharama sana mpaka ukaona unaweza ukakata tamaa....tukianzia juu kabisa nimeona niwape
saa ya maana aina ya blancpain, Volcom Slider Cardigan Sweater,shati lenye mistari black na white na tai ya silk black,black belt,Guess Edward Boot Jean,Crocodile black travolta...mnasemaje waungwana mpangilio huo?

No comments: