Hayo ndio mambo ya nightout warembo pindi tu unapopata mualiko popote pale..nimeona leoniwapatie fleva nyingine ili mkiwa mnafanya makamuzi mitaa flani mkubalike ...haya ni maandalizi tu unaonaje kwani kuanzia picha ya kwanza nimekuwekea Square Sunglasses,Candice Large Tote,Black mesh embroidered skirt na kumalizia chini na high heels hiyo ya pink kwa ndani na blac kwa nje....nadhani mmenipata fresh hapo warembo!
No comments:
Post a Comment