Sunday, 27 May 2007

Mambo Ya Red & Grey!














Warembo hao ndio mambo ya kumatch rangi ya red & grey zinapokwa zimevaliwa kwa pamoja ni jinsi gani zinakuwa zinavutia....nadhani ukianzia hicho Daytrip Swing Jacket(kikoti),BKE Shell Necklace, Sequin Tank,Spacegirlz Striped Short, Mia Sabrina Shoe...nadhani stock hizo mzikubali warembo na nadhani mtarespond vizuri sana huo ndio mdungo wangu wa weekend navyomalizia leo warembo...kazi kwenu!


1 comment:

Anonymous said...

Nice Outfit but I hv a question...the third picture..is it another blouse 2 wear or a mini dress??!?!?!