Hayo ndio mambo ya t-shirt na jeans ni soo hasahasa ukiyapatia pale ukipata stock hizo...hebu tazama kuanzia sunglassess,polo t-shirt la dark blue,stripe line belt,jeans na pro keds simple rubbe...nadhani mdungo umetulia...derrick upo mdau wangu hapo?
1 comment:
Mkuu ukipata stock hiyo nina uhakika lazima watu roho ziwaende mbio ukiangalia hiyo pro keds simple rubber jinsi inavyo match na jeans na polo t shirt na belt yeney strips kiisha ukamalizia kukandamiza kwa sunglasess hapo juu lazima mkuu kwa vyovyote vile utakayekutana nae akupe compliments
Post a Comment