Sunday, 20 May 2007

Mapigo Hayo....Green Colour Ni Sooo!










Hapo warembo sina la kusema ila ni kuwapa tu mapigo kila siku ya maana na kazi kwenu kuchagua ipi kati ya mapigo nayowadunga umeyazimikia bovu..haya tukianzia picha ya kwanza ni A.J. Morgan Margie Sunglasses yenye green frame,Kenzie Satchel (pochi),Kenzie Girl Shirtdress(kishati),Miss Me Stretch Jean(jeans),Kenzie Allison Shoe(kiatu)....nadhani niwaulize tu warembo naonaje matching ya nguo hizo?





1 comment:

Anonymous said...

It's Fabolous!!!!!