Monday, 7 May 2007

Mguu Huo Na Kengele Mbele...!

Msisahau mtindo wa kizamani wa kiatu kuwa na vikengele mbele au muundo wa kitu kama kengele kwamba ukikipata kiatu cha namna hiyo kusema ukweli ni balaaa....usifanye mzaha kabisa ukikiona dukani na una hela na style yake imekugwadua embu kishushe...lipa ondoka usijiulize mara mbili ila dhamani yake hutaijua ila nenda kwenye mikia ya bata ambapo wazee wazima wapo...uone kama hawajakufua kwa dau kubwa ni noma hiyo aina...!mpo hapo wadau!

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

eheee huu mguu ukipata na suruali fulani hivi nafikir inakuwa inaenda sawasawa