Tuesday, 8 May 2007

Mhh Hii Hapana...Amekosea!

Sasa nimeona wadau zangu sio kila siku nitaonyesha mavazi yalivyowapendeza watu ila pia nitakuwa ninaweka kasoro flani kwa watu wanaokosea sio kwamba nakosea tu ila nataweka hizo kasoro kwa upande wangu mimi navyoona ila na nyie wadau mnakaribishwa maoni yenu kama mna mtazamo mwingine...kama hapo pichani juu sijui niseme hizo nguo ni nzuri au niseme mtu aliyevaa haziendani na mwili wake..au vipi ila mavazi nimazuri mfano yangempata mtu yanayoendana nae...kama hilo bwanga na hicho kiblauzi hapana kusema ukweli Jada Pinkett Smith kachemka kinoma na huo mwili ulivyo mwembamba hapana.ila mtu mwenye mwili kidogo kama Tyra Banks,Beyonce,Jlo n.k wangependeza sana na huo mlipuko...au nimekosea hapo?

3 comments:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Angalua chini angepiga suruali fulani inayoendana na mwili wake ingekuwa bomba zaidi na angependeza zaidi lakini all in all sio mbaya hata hiyo thou inawafaa watu wenye mwili kidogo

shamim a.k.a Zeze said...

lol!! mie si ndo maana nasema hadi nije kuvaa hii itachukua muda...... ila top si mbaya imemtoa....nimegundua sababu hii style yake ni bwanga haiitaji kubana inabidi iwe loose kama hivyo....so mzoeee tu jamani...ila nimependenda alivyopangilia rangi green na white....imeenda poa

Unknown said...

ah son' japokua mimi sipo kwenye
mambo ya ubunifu lakini wacha niseme
jada kachemshaa... heheehe