Tuesday, 8 May 2007

Mnaonaje Warembo Mkipata Mapigo Hayo?


Je warembo ukipata stock kama hizo mbili hapo pichani mnasemaje ukiwa umevalia kijigauni kimini kiasi na tibaigana kubwa red na chini ukamalizi na hicho kiatu na hilo pochi?au wewe kwa mtazamo wako utavalia nini ukipata hii stock maanake mimi nimewapa baadhi tu ya mtazamo wangu ila nyie nadhani mnajua zaidi...warembo mpo?

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

To be honest huo mguu nimeukubali umetulia sana